Uwezo Financial Services tunatoa Mikopo ya Kanisa, Mikopo Binafsi na Mikopo ya Biashara.
Soma zaidiUFSL Tunatoa huduma ya ukataji wa bima za viombo vya moto, nyumba na nyingine nyingi.
Soma zaidiTunaamini katika kuwawezesha Watanzania wote kukabiliana na changamoto za kimaendeleo..
Soma zaidiTunatoa Mikopo kwa Riba Nafuu zaidi kulinganisha na kwingineko.
Tunao wafanyakazi mahili na wawajibikaji katika kila nyanja.
Tuna watu bora mbao wanauzoefu wakutosha katika masuala ya bima, mikopo na fedha.
Tunahakikisha mara zote tunafanya kazi kwa kuzingatia Ubora na maadili yetu yote ya msingi.